Monday, May 30, 2016

Ana Makinda Mwenyekiti Mpya Bodi ya NHIF

RAIS John Pombe Magufuli amemteua Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamuhuri  Ya Muungano wa Tanzania, Anna Makinda kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NIHF). Makinda anaziba pendo la nafasi hiyo liliachwa na Balozi Ali Mchumo.
Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imeeleza.

No comments:
Andika comments

Shukrani

Aina za Habari

Hifadhi