NaneNane Morogoro,Ufugaji Samaki katika Matank
Ikiwa kesho ndio kilele cha NaneNane usikose kuja kuona fursa zikufaazo.
Kwa mkulima makini na unayetaka kujikita katika kilimo cha biashara usikose kufika Banda la Chuo kikuu cha kilimo Sokoine ujionee utaalam Mpya wa ufugaji Samaki katika Matanki.
Tembelea Banda la SUA kwa maelezo zaidi.