Tangazo

      Monday, January 9, 2017

      HATUA SABA KATIKA KILIMO BIASHARA

      Ndiyo! kilimo ni  Bishara, lakini kilimo ni Sayansi, kilimo ni utamaduni,kilimo ni Afya, Kilimo ni Elimu,  kilimo ni Uchumi wa Nchi nyingi duniani. Hapa tutakupitisha kila kipengele cha kukufanya uwe mkulima...

      Monday, August 22, 2016

      Wafahamu Ng'ombe wa Nyama, Bonsmara

      Je, wewe ni Mfugaji?  Je, unafuga ng'ombe wa Nyama? Je unawajua Bonsmara? leo Sitawi inakustawisha na Kitu kizuri kitu cha Ukweli Sokoni. Ukitaka kufanya bisahara nzuri ya Nyama, fuga Bonsmara....

      Stawisha Nywele kwa Beetroot

        Je, unatatizo la kukatika Nywele? Je,umewahi kujiuliza kwa nini ukichana nywele zinabaki rundo kwenye kitana? kwa nini ukichana nywele zako zinapukutika na kudondondoka? Je wajua vile ulavyo ni muhimu...

      Sunday, August 14, 2016

      Vijimambo vya Ujauzito

      Mambo Haya huwezi kuelezwa na daktari Kipindi cha ujauzito kimejaa mambo mengi ya kustaajabisha. Lakini kwa akina mama watarajiwa kwa mara ya kwanza hujumuisha mambo ambayo hakuyatajaria kuwa ni ya...

      Monday, August 8, 2016

      Ubora wa Maziwa ni kwa kula mlo Kamili .

      Kwa mama unayenyonyesha tambua kuwa maziwa anayopata mtoto kutoka  kwako ubora wake hutokana na kile chakula ulichokula ukiwa mjamzito na hadi sasa unaponyonyesha. Inashauriwa kwa mama anayonyesha kula mlo kamili...

      Sunday, August 7, 2016

      NaneNane Morogoro,Ufugaji Samaki katika Matank

      Ikiwa kesho ndio kilele cha NaneNane usikose kuja kuona fursa zikufaazo. Kwa mkulima makini na unayetaka kujikita katika kilimo cha biashara usikose kufika Banda la Chuo kikuu cha kilimo  Sokoine ujionee...

      Saturday, August 6, 2016

      Waziri wa Afya Ataka TFDA kuchunguza Mayai

      Dar es Salaam. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema mayai ya kuku wa kisasa yanayotengenezwa nchini  yamedaiwa kuwa na mabaki ya dawa ambazo ni...

      Tuesday, August 2, 2016

      Serikali ya Tanzania kukata Rufaa Ndoa za Utotoni

      Serikali ya Tanzania imewasilisha ombi la kukata rufaa, uamuzi wa kihistoria nchini uliopinga ndoa za watoto walio chini ya umri wa miaka 18. Mwezi uliopita mahakama kuu iliamua kuwa sehemu...

      Wiki ya Unyonyeshaji Duniani

      Nchi zaidi ya nchi 170 duniani zinasherehekea wiki ya unyonyeshaji kuanzia Agosti Mosi hadi Agost 7, ili kuchagiza jukumu la onyonyeshaji kwa lengo la kuboresha afya wa watoto kote duniani. Kwa...

      Monday, August 1, 2016

      NaneNane, 2016

      Mahindi ya Njano.  Ujio wa mbegu hii ya Njano umeleta mapinduzi katika Tija  ya Mkulima wa Mahindi nchini. Mkulima Sasa anauwezo wa kupata gunia zisizopungua 20 katika ekari moja. Mbegu hii ni...

      Page 1 of 10123»

      Aina za Habari

      Hifadhi