Monday, August 1, 2016

NaneNane Morogoro

Kuku wa Nyama wa Asili wenye Faida ni Kuchi.

    *Kuku hawa wanauwezo  wa           kuvumilia magonjwa.
    *Wanauzito mkubwa kulinganisha na aina yoyote ya kuku.

     *Nyama yake ni Tamu na Laini.

    *Ufugaji wa Kuku Huyu una Faida nyingi kwa mfugaji anayezalisha vifaranga kwa ajili ya uuzaji.

Kwa kujifunza zaidi tembelea Mabanda ya Halmashauri ya Handeni  na Halmashauri ya Ulanga ujifunze zaidi na kupata majogoo bora ya kuchi. #tusitawi Blog@NaneNane Morogoro 

Kuku aina ya Kuchi katika banda la Handeni. 
Kuku aina ya Kuchi mdomo kasuku katika banda la Ulanga. 

1 comment:
Andika comments
  1. Habar ndugu utakuwa unafahamu wanapopatikana hao kuku jamii ya kuchi nawahitaji na hasa ka wanapatikana jiran Morogoro nipo Iringa namba yangu ni 0621032951

    ReplyDelete

Shukrani

Aina za Habari

Hifadhi