Mahindi ya Njano.
Ujio wa mbegu hii ya Njano umeleta mapinduzi katika Tija ya Mkulima wa Mahindi nchini. Mkulima Sasa anauwezo wa kupata gunia zisizopungua 20 katika ekari moja.
Mbegu hii pia imeboresha Afya ya mlaji. Ni Mahindi ya Njano pekee yenye virutubisho vya carotene ambavyo havipo kwenye mahindi meupe. Kwa hiyo basi ulaji wa Mahindi ya Njano yanakuongezea hiyo carotene ambayo ni shabili na Vitamin A na C ambazo katika vyakula vitokanavyo na nafaka utavipata katika mahindi haya ya Njano pekee.
No comments:
Andika commentsShukrani